Najuta Kutobeba zawadi kwenye harusi

Wakulipe mchango wako, zawadi waliyonunua kamati na mchango wako upo kwa nini wakutoe nje kwa hila? Dai mchango mkuu
 
Kiendacho kwa mganga
Aaah wapi? Hapo kingeeleweka tu, sio kwamba nimekosa chakula hapana Ila huo ni uhuni uliopitiliza kama mchango haukutosha wangesema sio wasingizie zawadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…