πPoteleapote
Kutamani kuwa jinsia ambayo sio yako ni kukufuru....acha hii tabia.Mimi nataka niwe mwanamke
Hii fungulia thread yake and inayojitegemea.Hiyo methali yako au msemo wako hauna maana wala fundisho. Hata mtoto wa darasa la kwanza angefanya vizuri zaidi kuliko waziri mtarajiwa wa serkaqli ya CHADEMA.
HUYU NI SHOGA ALIYEKUBUHU... Kilasiku anashinda JF kuandika upumbav... Leo amejiumbua amejiweka wazi kuwa anapenda ushoga,Huyu jamaa harakati kaanza kitambo. Cheki baadhi ya comments zakeView attachment 2565204View attachment 2565205
Kwa hiyo internally wewe ni mwanamke?Unaongea kwenye sex Organi tu hujajua kuwa mwanamke ni internal structure based kuliko external structure
Upinde kwenye moja na mbiliKama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Kuna siku ulisema ukipewa Tsh 50m unatoa kinyeo. Kwa huu uzi wako inaonekana kwa sasa ukipata tu mtu wa kukuoa unampa tu kinyeo cha muhimu huduma zote kama mke uzipate. Haya ni matokeo ya kuwatukana waalimu bila sababu... wewe sio mwenzetu tena.Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
AahahaaWalimu walimtatua marinda
Huyu alishaleft kundi la wanaumeKuna siku ulisema ukipewa Tsh 50m unatoa kinyeo. Kwa huu uzi wako inaonekana kwa sasa ukipata tu mtu wa kukuoa unampa tu kinyeo cha muhimu huduma zote kama mke uzipate. Haya ni matokeo ya kuwatukana waalimu bila sababu... wewe sio mwenzetu tena.
Mkuu ebu nitag huo uziKuna siku ulisema ukipewa Tsh 50m unatoa kinyeo. Kwa huu uzi wako inaonekana kwa sasa ukipata tu mtu wa kukuoa unampa tu kinyeo cha muhimu huduma zote kama mke uzipate. Haya ni matokeo ya kuwatukana waalimu bila sababu... wewe sio mwenzetu tena.