Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Nipo kijijini mda huu karibu kwetu mpwayungu tupo mtaa wa Kati uliza Kwa masinjisa au Kwa aloyce
 
Hata sasa hivi unaweza kuwa mwanamke ni wewe kuamua tu.
Ila wewe ni mjinga na una akili za umasikini kuogopa majukumu vijana wa aina yako ni mzigo kwa familia, nchi na dunia kwa ujumla
 
Naona ame like kabisa kwahiyo nahisi ushauri wako ataufanyie kazi vizur
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman nyie watu mmmmh.
Yeye mtu mzima anajua.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oya
 
Hata sasa hivi unaweza kuwa mwanamke ni wewe kuamua tu.
Ila wewe ni mjinga na una akili za umasikini kuogopa majukumu vijana wa aina yako ni mzigo kwa familia, nchi na dunia kwa ujumla
Asante Kwa ushauri wako mkuu
 
Mwanaume ana gametes X,Y
Hivyo ndani ya mwanaume kuna Mwanamke.
Ila ndani ya Mwanamke hakuna mwanaume.

Sema nini, unajua kucheza na Akili za Watu humu Ndani. Unachohitaji ni attention na mapovu ya Watu.[emoji23][emoji23]
Because the woman came from the man. The man never came from the woman but from God.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Kama ningepewa fursa ya kuchagua Kati ya kuzaliwa mwanamke au kuzaliwa mbwa Bora ningechagua kuwa mbwa.

Aisee kuwa mwanamke Ni shughuli pevu Sana.

A
Usimalize maneno yote kaka ,,,,bila mwanamke usingezaliwa ww shukuru tu Mungu umezaliwa wa kiume bila kudharau jinsia maana ata sisi wanawake tunajivunia kuwa wanawake na tuna mchango mkubw kwa mwanaume na nyie mna mchango mkubwa kwetu ,,,
 
Daah, maneno huumba ndugu yangu, be careful!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…