Niliamini huyu ndio wife material wangu bana
Basi yule mtoto akanionesha ishara zote za kunihitaji si nikajifanya nice guy eti sitaki nimuumize mtoto wa watu nimuache tu aende zake[emoji24][emoji24]
bora hata ningemuambia walau NAKUPENDA huenda angenifikiria huko alipo hivi sasa
Nakumbuka siku ya mwisho alikuja kuniaga, aliniambia "nimekuja kukuaga, naondoka Mungu akipenda" dah!!
Eti nikamjibu "nakutakia kila la kheri"
Tazama huyu ambae niliesema wa kulia maisha kapindua meza tena kibabe tu[emoji24][emoji24]
Hii hainijani pain saana na nimeshakubali matokeo
(Siku moja tu ilitosha kunifanya niwe mwenye maumivu na siku hiyohiyo nilikubali matokeo)
fresh tu, ila kinachonipain kumu ignore yule mtoto wa watu ambae kwasasa nahisi kumuhitaji kwelikweli
Coz now I want to go where I feel loved
Ikumbukwe sikumuignore kwakuwa sikumuelewa ila sikutak kucheza na feelings za mtoto wa watu
na madrama siyawezagi
Je huko alipo anaweza ku think about me tena?
Dah! Kumfuata mim nikiwa ndio muhitaji pia haitokuwa changamoto? hivi hato take tena advantage ya mimi kuwa muhitaji kwake?
Aaaaaaah!
Njia panda............