Najuta, nilitembea na mke wa jirani yangu nafsi inanisuta sana

Mkuu omba yasikutokee mkuu.

Mi niliwahi tongozwa na mke wa tajiri mmoja ana mabasi yake. Ssikutegemea na yule dada alikuwa mzuri mzuri yaani ana macho ya kizungu mboni ya kahawia, mweupe unaweza dhani ni chotara ana bonge la mavi huko nyuma, mama wa watoto wa watatu.

Nikageuka zezeta nikala mambo nikanogewa aisee jamaa akashtukia mchezo dada wa watu akanitema nilichangnyikiwa kwa utamu wa yule dada ila ilitoka hio .

Najua nitakuja megewa tu ila Mimi nishaacha
 
Noma sana!
 
Sio tajiri wa mabasi ya Kilimanjaro kweli maana yule mzee na ule mwili wake kitambi kaa ana mimba nguvu za kiume ni 0

Na mke wake ana tako hilo kama nyigu na ni mweupe kama ulivyosema


Nadhani ni yeye 🤔
 
2005 ni watoto wa shule hao, hebu achana nao waache wasome
 
We were built different. Kitendo kama hicho hakiwezi kunifanya nijute hata robo.
 
Kuna kaukweli fulani , zamani ilikuwa simple hata kwangu lkn siku hizi siwezi kabisa-naogopa sana mikosi ,laana ya kusambaratisha familia ya mtu hasa tabu wanazopata watoto ni za maisha na siyo athari za muda mfupi.
Kuna pisi nyingi kali kinouma. Kuna totoz za 2000 huko ndio habari ya mjini. Yaani bongo mpaka uende kwa mke wa mtu basi wewe ni mzembe. Hilo ni kosa umefanya usirudie futa namba na mkeo akiwa mbali ni bora uende nae au hama hapo.
😁😁😁 Hapa pakuzingatia sana- enzi tunasoma wale mabinti tuliokuwa tunasoma nao walikuwa wanakuja kuchukuliwa na magari ya mabwana zao ,sisi tunaangalia tu-NIMEGUNDUA SASA HIVI SISI NDIYO TUNATAKIWA KUWA WALE WABABA SASA.

🚶🚶🚶🚶
 
so unapenda ---trako--- ulilikula?...au kuona tuu wafurahia...ila jua na mkeo alikuwa analiwa huko alikokuwa......mipango ya shetani haivurugwi kabisa...
 
Siku hizi tunasoma heading na ku comments
Nani alianza kumfuata mwenzie?
 
Dah hii stori imenikumbusha mbali sana nusu nitolewe roho. Acha niishie hapa. Lakini hawa watu wakuitwa wanawake wana mitihani kweli kweli
 
Kiufupi sio wake za watu tu wanaleta mikosi hata wanawake wengine wana mikosi kwa sababu mwanamke utembea na wanaume tofauti kila mwanaume anakuwa na mikosi yake so unapopita lazima ubebe mikosi

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ningekuwa upande wako endapo ungejuta Kwa kumsaliti mkeo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…