Mweleze Mkeo,litakalokuwa na liwe! Kuna jamaa alikuwa na watoto watatu, aliwalea vizuri sana, baada ya miaka kadhaa, alikuja kugundua wale watoto wote sio wake, kabla ya hapo, alisafiri mkoa kikazi akampa miba binti mmoja, kwa maelezo yake, wakaelewana amlee mtoto na yeye atatuma matumizi! Mwisho wa siku, yule binti akapata mchumba na anataka kuolewa, alichofanya ni kumletea mtoto ofisini na kumbwagia jamaa, mwisho wa yote, akampeleka nyumbani kwa mkewe, shughuli ilikuwa PEVU, lkn baada ya kufatilia akajagundua wale watoto watatu sio wake, Mke wake alizaa na Mtu mwingine! Kwa usalama, MWELEZE mkeo, na litalokuwa na liwe. POLE SAANA