Najuta

Ang'ang'amie bhana...........awe king'ang'anizi kama tule tu - inzi tunato taka kuingia masikioni wakati jua kaliiiii..


Ha ha ha ang'ang'anie?????? Mweehhhhhh ha ha ha ha aachane nae atafute mwingine.............
 
SnowBall umeamkaje leo ?????????unataka mwenzio aende 30yrs eeeeeeeeeeeee mwambie hivyo vitundu viko vingi sana hata bata ,kuku,mende wanavyi ng'ombe,mbuzi,nguruwe so aijitafutie matatizo!!!

Hawa watoto wamefanya mapenzi kama kazi..kwamba ukiikosa unalala njaa!!
Kama mtu hakuzimii si unalianzisha kwingine..sasa yeye anakuja kulialia hapa bana!
 
Hawa watoto wamefanya mapenzi kama kazi..kwamba ukiikosa unalala njaa!!
Kama mtu hakuzimii si unalianzisha kwingine..sasa yeye anakuja kulialia hapa bana!

Ulisema unatumia kinywaji gani vile???? Leo jioni nidai
 
watoto wa siku hizi mna mambo. sasa umemtongoza mkaka kakukatalia jua kwamba ndo inavyouma wewe unapomkatalia mwenzio anapokutongoza. kumbe inauma kwa wadada lkn kwa wakaka haiumi eeh!

eeeeh msinyimane peaneni..............
 
Ndo maana yake maana nilidhani utasema "Savanah" nikaogopa kama ni hiyo Cola unapata Dinner kabisa

Unafuu wangu uko kwenye 'cola' tu.. but kwenye misosi utaomba niwe nakunywa 'savanah'!
Si unayajua makitu ya MacDonald!!!
 
kwani unapoomba lazima upewe huo ubabe wenu na huo utabia wenu wa ujifanya watawala siku moja utawasababishia vifo vya kihoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…