Milcah Elihury
Member
- Mar 15, 2012
- 6
- 2
Hivi kuna ubaya kwa msichana kumueleza mwanaume hisia zako.Nujutia nafsi yangu kwa kumuonyesha hisia za kweli mwanaum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole, usirudie tena.Hivi kuna ubaya kwa msichana kumueleza mwanaume hisia zako.Nujutia nafsi yangu kwa kumuonyesha hisia za kweli mwanaum
Pole, usirudie tena.
pole sana
namshangaa huyo ulompa moyo wako akakudharau na kukupuuza
mbona wengine hatuna hiyo bahati wajamini?
asie na bahati habahatiki
we unasema tu ndugu, nyie wanaume mkitongozwa na wadada ndo mnawashusha thamani kabisa na kuwaona ni bwelele!!
Hivi kuna ubaya kwa msichana kumueleza mwanaume hisia zako.Nujutia nafsi yangu kwa kumuonyesha hisia za kweli mwanaum