umeona eeh! Bora mtu ufe nalo moyoni kama anashindwa kusoma alama za nyakati.
Hivi kuna ubaya kwa msichana kumueleza mwanaume hisia zako.Nujutia nafsi yangu kwa kumuonyesha hisia za kweli mwanaum
kwani ukionyesha unapenda ndo lazima ukubaliwe, mbona ni kawaida kwa wanawake kukataa wanaume ilihali wanaume hao wanawapenda kwa dhati? wewe kama unae mtu wako, wakija wengine kuonyesha hisia nao utawakubalia pia?. kubali matokeo, usilalamike. unavyojisikia kukataliwa , hiyo ndo maisha ya kila siku ya wanaumeHivi kuna ubaya kwa msichana kumueleza mwanaume hisia zako.Nujutia nafsi yangu kwa kumuonyesha hisia za kweli mwanaum
umeona eeh! Bora mtu ufe nalo moyoni kama anashindwa kusoma alama za nyakati.
mmmh, husyn ndugu.
Kuna wakati maji yanazidi unga, labda upike uji na si ugali.
Kama wataka ugali itabidi tu kugonga kwa jirani na kusema ulilonalo rohoni.
Ndo hivo sasa mdada anatakiwa ajiandae na majibu yeyote....sio kunung'unisha nafsi na kuapa kutokupenda tena!!
Hii nayo ni aina ya stigma wanawake waliyonayo. Haimaanishi ukimwambia mwanamme unampenda naye akubali. Anaweza kuwa na komitimenti na mtu mwingine au hakupendi kiasi cha kuwa na mahusiano.
Ni kawaida kama wanawake wanavyowakataa wanamme ili hali anajua kabida anapendwa, lakini anakataa sababu hampendi.
Tatizo mwanamke anataka akimfuata mwanamme aruke ruke na kukubali straight, haiko realistic hii.
Kudagadeki.....Pole dada.
Lakini hongera kwa kushinda stigma ya mwanamke kumtongoza mwanamme.
Ukiachilia mbali kukataliwa na uliyemtaka, hebu jiulize, wewe umeshakataa wangapi waliokutongoza?
Unadhani mwanamme hana haki ya kukukataa kama hajisikii kukubali?
Na kama akikubali kila anayemtongoza, atakuwa na wangapi?
Haina haja ya kujuta, ni mapito tu. Shida ni kama aligonga mzigo afu akasepa.
Hivi kuna ubaya kwa msichana kumueleza mwanaume hisia zako.Nujutia nafsi yangu kwa kumuonyesha hisia za kweli mwanaum
Pole Milcah..
Hukufanya kosa ila huyo baba ndiye wa kulaumu kwa kutothamini jinsi ulivyomuami na kumpa ukweli wako kwake...
Kuna wakati wanaume wanakuwa watu wabaya sana...
Duh! Pole, ni kawaida kama ambavyo wewe uliwatosa wanaume walioonesha hisia za kweli. Usiruhusu mateso ya moyo bidada.
pole sana
namshangaa huyo ulompa moyo wako akakudharau na kukupuuza
mbona wengine hatuna hiyo bahati wajamini?
asie na bahati habahatiki