Nakala ya katiba ya Tanzania

Njaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2009
Posts
1,022
Reaction score
412
Dear members
Nimepata mwamko wa hili suala la katiba mpya ya Tanzania...., ili kujiweka sawa natamani kusoma ile ya zamani kwanza ili niweze kupata idea ya mapungufu yake. Please mwenye digital copy (nakala ya digitali) initumie kwa kuni-PM. Hivi zipo pia za kiswahili? kama zipo zote please msaada

Regards
Njaa
 
Unawezakuipata kupitia tovuti : www.tanzania.go.tz/constitutionj.html lakini unatakiwa kuwa na acrobat.
Ni vizuri kama watu wote wakiwa na muamko kama wako wa kuhitaji kuijua katiba ya nchini ambayo inatumika hadi hivi sasa. Kwani ni vigumu kuchangia endapo hatujajua vitu gani ambayo vinatakiwa kuondolewa kwenye katiba iliyopo na nivipi viongezwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…