Sihitaji kusoma mkataba ila nakuhakikishia Yanga wamekosea angalau kosa moja katika haya mawili
1. Kudai Niyonzima kavunja mkataba
2. Kudai fidia
Kubali kataa ila mwisho utakuja kukubaliana na mimi Ynga haiwezi kushinda kesi zote kati ya hizo mbili. Ila ni ukweli Niyonzima amefanya kosa kubwa pia kwa kutokufika kazini kwa wakati, lakini kosa hili na muda aliochelewa halipelekei kuvunja mkataba na kulipa fidia hapo hapo.