Nakalema awataka viongozi wa dini wasaidie katika mapambano dhidi ya rushwa Uganda

Nakalema awataka viongozi wa dini wasaidie katika mapambano dhidi ya rushwa Uganda

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Kiongozi mkuu wa Taasisi ya kupambana na Rushwa Uganda Bi. Edith Nakalema amewaomba viongozi wa dini kusaidia katika harakati za kukemea rushwa nchini Uganda.

Kiongozi huyo akiwa amehudhuria ibada ya Jumapili katika kanisa la Mtakatifu Paulo lililopo Mulango Jijini Kampala, amesisitiza kuwa vita dhidi ya rushwa ni kubwa sana, Vita hii haiwezi kumalizwa na mtu mmoja isipokuwa inaweza kumalizwa kwa kuunganisha nguvu ya watu kutoka pande mbalimbali ikiwamo taasisi za kidini. Hivyo, Nakalema ametoa wito kwa watu wote kuungana pamoja katika mapambano ya rushwa ili kuifanya rushwa itokomee Uganda.

Ameongeza kuwa, taasisi za dini zinapaswa kuwa mstari wa mbele katika kukemea na kupambana na rushwa kwa sababu rushwa ni suala la kimaadili. zaidi ya hayo, Nakalema anaeleza kuwa rushwa ipo katika nyoyo za watu hivyo wanapaswa kusaidiwa.

1574054760270.png

Zaidi soma:


Lt.Col. Edith Nakalema, the head of the anti-corruption unit in the State House has rallied religious leaders to support the fight against corruption.

‘’Let us join the hand together against corruption, everybody has responsibility in the struggle make Uganda free from corruption ‘’ Nakalema said

Nakalema who delivering her Sunday sermon at St. Paul Church of Uganda Mulago in Kampala said the war against corruption is big and cannot be finished by one person but instead with joint effort and God.

Nakalema said religious institutions should be at the forefront in the fight against corruption since corruption is a morals issue.

“Corruption is in the hearts of the people, they need to get saved,” Nakalema said.

Tasking the Christians and religious leaders for prayers, Nakalema said she was suffering the backlash of the corrupt.

“I’m now being demonized because I’m fighting corruption. But I must fight for God’s people. I want a team of people to pray for me” Nakalema said.

“Some people are now calling us all sorts of names; that we are murderers, criminals, but all that will not deter the fight against corruption,” Nakalema added.



Chanzo: New Vision Uganda
 
Back
Top Bottom