CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,813
- 1,827
Tulizungumzia hii soundbar kwenye mada: FLAGSHIP SOUNDBARS.
Nakamichi wanadai ni kufuatia maombi kutoka kwa watumiaji wa awali wa hii sound system ambapo 41% waliomba subwoofer ziongezeke uwezo na kati ya hao 67% wakataka ziwe za kuanzia inchi 12 na kuendelea. Wakati sisi wengine tukiona kuwa subwoofer 4 za 8" ni zaidi ya mahitaji lakini wengine bado hawajashiba kabisa🤔
Kwa hiyo maombi yao yamefanyiwa kazi na kampuni ya Nakamichi kwa kutengeneza subwoofer za inchi 12 zinazoshuka hadi 19Hz ( za awali zinafika 20Hz).
Na jambo la kufurahisha ni kwamba bei zimeshuka sana.
Hii maana yake ni kwamba:
A. Wale ambao tayari wanamiliki hii soundbar na wanataka ku upgrade subwoofer basi watalipia $1,499 kwa kila moja na ni kwa muda mfupi hadi Dec 31 kwa kuwa hazitaendelea kuuzwa zikiwa peke yake ila tu zikiwa sehemu ya system nzima. Hii ina maana hizi subs mpya zinaagizwa peke yake na wale tu wanaomiliki hii system tayari.
B. Wale ambao hatujanunua bado basi tuna options 3;
* Kuagiza ile package ya awali kabisa yenye subwoofer 4 za inchi 8, power 3000w kwa bei ya $2,999(badala ya bei ya awali ya $3,899)
*Kuagiza system yenye subwoofer 2 za 12", power 3500w kwa $4,799 (badala ya $5,599)
* Au system yenye subwoofer 4 za 12", power 5000w kwa $6,999( badala ya $8,499).
Hizi subwoofer mpya kila cabinet ina active driver ya 12" inayoangalia mbele na passive radiator ya 12" inayoangalia sakafuni ili kuongeza bass power na resonance.