Side buggati
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 232
- 182
Natanguliza salama kwa WanaJF wote natumain ni wazima kuja kwangu hapa leo nimepatwa na typhoid so nikaenda kwa doctor nikapata vipimo ×3 UTI, Malaria na typhoid majibu yakaja kuwa naumwa Typhoid na Malaria.
Nikapewa dozi kwa maralia nimetumia mseto na panadol na kwa upande wa typhoid nlipewa vidonge vinaitwa "NORMAX" daktari nikamwambia kama typhoid naomba "CIPRO" huwa ndo vinanisaidia tangu nianze patwa na ugonjwa huu maana hii n mara 3 kupatwa na typhoid lkn daktari akaniambia normax ni vidonge vizuri sana ndomana vinabei elf7000.
Basi nmemaliza doz kwa upande wamalaria japo sijarudi kupima lakini sina kabisa lakini naona bado tumbo linajaa mwili unachoka viungo vinauma na hivi vidonge dah vinaumiza sana ya nakula sana lakini hii midonge mikali na nimebakisha kidonge kimoja nimalize dozi na leo hii tarehe 18 jun ,tues 024 ndo namaliza dozi.
Naomben ushauri nikanunue cipro au nirud kwa daktari