Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Nipo vijijini, nimemaliza chuo 2018 ualimu nilisota mwaka 1 nimesaidia fundi beba zege gafla nikapata mchongo private japo salary inasua sua Lakin nashukuru Mungu
Mwaka huu nikajiongeza na kamera na wakala free Lansa wa laini vijijini siku za wikiend
Kutokana na mizunguko yangu natumia Baiskeli nashindwa kuvifikia vijiji Vinginevyo ambavyo Kuna soko la picha pia
Nimeona bora nikusanye pesa ninunue pikipiki ili niongezee ufanisi kwenye harakati zangu wikiend
Nb kila wikiend vijiji viwili naingia 70000 lakini pia nafuga ngurue wa kisasa ili kuongeza pesa
Tafadhali pikipiki imara ni kampuni gani.