Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
AsanteSinoray na haojue ila boxer itakugharimu saula la spear ni ghali sana pia zinahitaji umakini kuzitumia
Asante bei zake vip bossKing lion
Mimi Sina kuuza sura kaka nipo kipesa zaidi nishauri kampuni imara tuIssue za vijijini nunua haoujue. Iko imara sana. Ninayo ni mwaka sasa haijapata tatizo hata moja. Kazi kazi.
Ika kama unataka mwonekano mzuri kulingishia vimwana chukua tvs au boxer.
Asante mkuu bei gani?Haojue kwa Kijiji nzuri,ata mizigo unabeba fresh kipindi cha mavuno
Bei ya pikipiki hio IST zitoke 5Nunua Triumph Rocket bro maana ni kiboko na ina speed ya ajabu. Hii hata akhera (kwa mungu) inakufikisha kwa bure kabisa.
View attachment 1979676
Mpya au mtaani?Asante mkuu bei gani?
Bei ya pikipiki hio IST zitoke 5
Mpya bossMpya au mtaani?
Kwenye milioni mbili hiviMpya boss
Kuna pikipiki zinataka kuwa na muundo kama hizo cc 125 kwa 150 unaweza kujua zinapatikana wapi? Na bei zake zipoje nazikubali sana kuzurulia hapo kwa kina mwajuma n'chokonoeNunua Triumph Rocket bro maana ni kiboko na ina speed ya ajabu. Hii hata akhera (kwa mungu) inakufikisha kwa bure kabisa.
View attachment 1979676
"n'chokonoe"[emoji849]Kuna pikipiki zinataka kuwa na muundo kama hizo cc 125 kwa 150 unaweza kujua zinapatikana wapi? Na bei zake zipoje nazikubali sana kuzurulia hapo kwa kina mwajuma n'chokonoe
Kaburu zinapatikana kwa wingi sana, ila bongo silifahamu chaka lake mkuu.Kuna pikipiki zinataka kuwa na muundo kama hizo cc 125 kwa 150 unaweza kujua zinapatikana wapi? Na bei zake zipoje nazikubali sana kuzurulia hapo kwa kina mwajuma n'chokonoe