kwanza hongera mimi ndo kumekucha uku muombe mungu atakusaidia pia kuwa karibu na waudumu wa afya unapojiskia na matatizonaombeni ushauri jamani, mimi niko wiki ya 37 ya ujauzito sasa ,
nilikuwa nawaza je kuna uwezekano wa kujifungua salama iwapo
mtoto wa kwanza nilipomzaa alisumbua sana na kupasua njia kipindi
na push, sasa yale maumivu ya nyuzi nilizopata nisingependa yanirudie,
swali langu ni kwamba,
je nitakapojifungua tena kuna uwezekano wa kuchanika tena pale niliposhonwa zamani?
Ili hali nina miaka miwili na nusu toka nishonwe? Napata hofu kutokana na maumivu ya nyuzi
jamani ni noma.
ushauri mwema.Pole sana. Mtangulize Mungu naimani atakusimamia na utajifungua salama! Ondoa hofu kabisa ndani ya moyo wako. Ongeza kufanya maombi! All the best.
ushauri mwemapole sana BLISS....i wish you well unapokaribia kujifungua...
hope drs' wapo humu watakusaidia.
naombeni ushauri jamani, mimi niko wiki ya 37 ya ujauzito sasa ,
nilikuwa nawaza je kuna uwezekano wa kujifungua salama iwapo
mtoto wa kwanza nilipomzaa alisumbua sana na kupasua njia kipindi
na push, sasa yale maumivu ya nyuzi nilizopata nisingependa yanirudie,
swali langu ni kwamba,
je nitakapojifungua tena kuna uwezekano wa kuchanika tena pale niliposhonwa zamani?
Ili hali nina miaka miwili na nusu toka nishonwe? Napata hofu kutokana na maumivu ya nyuzi
jamani ni noma.
Kwa nini umuite igunga na si Babati??Mtumishi unajua jina Mara ??Jadiliana na daktari wako kwanza. Unaweza uka opt out operesheni. Lakini kikubwa sana,mtangulize Mungu ktk kila kitu. Kama ni mkristo ningekupa mistari ya kusimamia.
Naomba nipendekeze jina la mtoto, muite Igunga. Jina hilo ni unisex , kielelzo cha utamaduni kuyaenzi majina yetu na ukomavu wetu wa kisiasa
naombeni ushauri jamani, mimi niko wiki ya 37 ya ujauzito sasa ,
nilikuwa nawaza je kuna uwezekano wa kujifungua salama iwapo
mtoto wa kwanza nilipomzaa alisumbua sana na kupasua njia kipindi
na push, sasa yale maumivu ya nyuzi nilizopata nisingependa yanirudie,
swali langu ni kwamba,
je nitakapojifungua tena kuna uwezekano wa kuchanika tena pale niliposhonwa zamani?
ili hali nina miaka miwili na nusu toka nishonwe? napata hofu kutokana na maumivu ya nyuzi
jamani ni noma.