Nakaribisha mwekezaji karibu tufanye biashara pamoja

Nakaribisha mwekezaji karibu tufanye biashara pamoja

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Habar wadau?

Mimi nina kqmpuni,nina ofisi kubwa ,nina vibali vya kufanya kazi za serikali kweny taasisi zake!

Wakati nafungua nilikuwa natafta wau nipate 10m kwa ajili ya biashara ya lending

Sasa unakitika mwak sjafanikiwakufungua natafta investor ambae anaweza ingiza mtaji na tukaendesha biashara pamoj

Karbui one your interested karbu sanaa.l

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona wengi hapo juu mnahitaji maelezo kwa ufupi nina limited kampani imesajiliwa kufanya shughuli mbalimbali nchini Tanzania kwa sasa tuna kazi tunafanya kwa niaba ya serikali pamoja na kazi hizo tunazofanya tulipofungua kampuni tulilenga sanaaa kufanya biashara nyingine kubwa ikiwa lending means kutoa mikopo kwa watu wa hali ya chini maono hayo yalisababishwa na sisi wamiliki wa kampun kuwa na uzoefu na kazi hizo kwa takribani miaka kumi kuwa benki!

Sasa tunaona siku zinasonga hiyo biashara tuliyoilenga hatujaanza kuifanya ndio maana nikakarbisha kama kuna mtu anaweza kuwa na mtaji wa fedha lakini hajui auweke wapi? Aufanyie nini?umzalishie sh ngap? Kwa kipindi gani ? Na shi ngap anaweza k
Pata kama faida kwa mtaji wake

Aje ofisini kwetu maswali yote hayo tunaweza yajibu kwa ufasaha! Karbuni sanaaa wadau nadhan hapo kwa ufupi nisiwachoshe mtakuwa mmenielewa kidgo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vigumu sana kuwekeza tu mahali
Hapo una washirika na una kampuni sasa unahitaji mkopo tu bank sio partners tena

Sent from my SM using Tapatalk
 
Back
Top Bottom