Nimeona wengi hapo juu mnahitaji maelezo kwa ufupi nina limited kampani imesajiliwa kufanya shughuli mbalimbali nchini Tanzania kwa sasa tuna kazi tunafanya kwa niaba ya serikali pamoja na kazi hizo tunazofanya tulipofungua kampuni tulilenga sanaaa kufanya biashara nyingine kubwa ikiwa lending means kutoa mikopo kwa watu wa hali ya chini maono hayo yalisababishwa na sisi wamiliki wa kampun kuwa na uzoefu na kazi hizo kwa takribani miaka kumi kuwa benki!
Sasa tunaona siku zinasonga hiyo biashara tuliyoilenga hatujaanza kuifanya ndio maana nikakarbisha kama kuna mtu anaweza kuwa na mtaji wa fedha lakini hajui auweke wapi? Aufanyie nini?umzalishie sh ngap? Kwa kipindi gani ? Na shi ngap anaweza k
Pata kama faida kwa mtaji wake
Aje ofisini kwetu maswali yote hayo tunaweza yajibu kwa ufasaha! Karbuni sanaaa wadau nadhan hapo kwa ufupi nisiwachoshe mtakuwa mmenielewa kidgo