Mwl Evarist Mchele
Member
- Jul 21, 2020
- 57
- 60
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam naelewa.. nimekuja ona watu wengi hawazipend sijui?? na sijaelewa kwa sababu gani. maana gari iko vyema tu kwangu mm.Kwa XTRAIL, Aisee Kazi unayo
shukran sana bosi., lakini mi kwa sasa natafta gari , pesa hapana mkuu. ndo maana nimeomba exchange.Mwl chukua 4m
hahaha, picha si ishuu sana maana gari ninayo all the time.. ni mtu kuitaka then nampigia mpka za uvunguni..au anakija iona mwenyewe live. dsmMbona picha umepiga kwa kuibia? Piga pande zote weka hapa
Nina Carina Ti 188,000kmsshukran sana bosi., lakini mi kwa sasa natafta gari , pesa hapana mkuu. ndo maana nimeomba exchange.