Druggist
JF-Expert Member
- Nov 10, 2010
- 439
- 528
Wakuu Salama??
Nina Eneo ambalo nimepambana Kujenga Kwa ajili ya Biashara ya Pharmacy na Vifaa Tiba. Lipo kwenye Finishing. Nahitaji mbia/Business partners ambaye tunaweza Kuingia Makubaliano ya Kuendesha biashara hii ya Dawa na Vifaa Tiba.
Eneo linatazamana na Kituo Cha Afya Katoro. Aidha Nina uzoefu na Elimu ya Kuendesha biashara hii kuanzia Rejareja na Jumla, pia nimeifanya Kazi hii Serikalini, NGO na Makampuni binafsi nikiwa Mfamasia na msimamizi wa miradi. Njoo tujadili na Kukubaliana. Uje na Pesa na kama una ujuzi wa ziada kama uhasibu au Utawala itapendeza.Namba zangu ni 0786258617.