Nakaribisha wadau kwenye uchimbaji wa dhahabu.

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Posts
4,351
Reaction score
9,838
Kama ilivyo hapo juu, Mimi ninachimba Mwime ya Kahama Shinyanga.
Nimechimba shimo ambalo limefikia kwenye uzalishaji ila lina changamoto kwenye mtaji. At least mtaji wa nyongeza wa mil 5 and above. Ila kwa changamoto zilizopo mil 5 zinatoboa.
Mdau atakayekuwa interested nitampa hisa kwa taratibu zote za kisheria
 
Msalimie Alen Seseja...

Hisa Bei gani??

...Ni Hayo Tu!!!
 
Kama ilivyo hapo juu, Mimi ninachimba Mwime ya Kahama Shinyanga.
Nimechimba shimo ambalo limefikia kwenye uzalishaji ila lina changamoto kwenye mtaji. At least mtaji wa nyongeza wa mil 5 and above. Ila kwa changamoto zilizopo mil 5 zinatoboa.
Mdau atakayekuwa interested nitampa hisa kwa taratibu zote za kisheria
Sawa mkuu, nitakutafuta. Nipo Kahama mjini.
 
Kama ilivyo hapo juu, Mimi ninachimba Mwime ya Kahama Shinyanga.
Nimechimba shimo ambalo limefikia kwenye uzalishaji ila lina changamoto kwenye mtaji. At least mtaji wa nyongeza wa mil 5 and above. Ila kwa changamoto zilizopo mil 5 zinatoboa.
Mdau atakayekuwa interested nitampa hisa kwa taratibu zote za kisheria
Mkuu vipi kutoa mawe duarani unatumia diesel operated crane ama ndo zile za kunyonga kwa mkono?
 
Mwime eneo gan Zanzibar,dodoma area d au kule kwa mchungaji au kwa mama nakio by the way hiyo kazi ilinipotezea sana raman na imeniacha na makovu yasiyofutika familia ilivurugika na nikalazimka kuanza upya.all the best
 
Kaka uwe na tabia ya kuwekeza kwa mipangilio. Hasara haziepukiki kwenye biashara yeyote...
Labda utushirikishe, wewe uliwekeza wapi na kwa mipango ipi?
 
Sina uhakika kama unao uzoefu wa kutosha kwenye hiyo sector ninachojua kama unachimba hilo duara bila kuwa na vipimo maana yake unabeti na kwa asilimia kubwa ya wachimbaji wadogo wadogo huwa tunabeti kwa sababu hakuna anatumia vipimo ikiwemo hiyo mwime so cha kufanya omba Mungu tuu duara lako lifike ila kusema unawekeza kwa malengo hapo haupo sahihi sababu hujui nini kipo huko chini
 
Duara alishafika ila ilianza na uzalishaji mdogo, nikapata changamoto kwenye mtaji ndio maana natafuta company
 
umekosa matajiri kabisa, hapo mwime uje kuomba huku Jf!
Inawezekana kabisa matajiri wa Mwime wakawa hapa jf na likawa jukwaa rahisi kuwasiliana kuliko kuwatafuta mmojammoja
 
Duara alishafika ila ilianza na uzalishaji mdogo, nikapata changamoto kwenye mtaji ndio maana natafuta company
Duara yenye uzalishaji haiwezi kosa wanunua hisa ni fasta tuu ila siyo mbaya komaa mwanangu unaweza kujikuta unatua penyewe
 
Back
Top Bottom