Wastani wa gramu ngapi au pointi ngapi kwa mfuko???Sijapima Ppm ila ppm za Mwime ni 2 mpaka 13 kwa huo usawa.
Mawe unakamua
Msalimie Alen Seseja...Kama ilivyo hapo juu, Mimi ninachimba Mwime ya Kahama Shinyanga.
Nimechimba shimo ambalo limefikia kwenye uzalishaji ila lina changamoto kwenye mtaji. At least mtaji wa nyongeza wa mil 5 and above. Ila kwa changamoto zilizopo mil 5 zinatoboa.
Mdau atakayekuwa interested nitampa hisa kwa taratibu zote za kisheria
Sawa mkuu, nitakutafuta. Nipo Kahama mjini.Kama ilivyo hapo juu, Mimi ninachimba Mwime ya Kahama Shinyanga.
Nimechimba shimo ambalo limefikia kwenye uzalishaji ila lina changamoto kwenye mtaji. At least mtaji wa nyongeza wa mil 5 and above. Ila kwa changamoto zilizopo mil 5 zinatoboa.
Mdau atakayekuwa interested nitampa hisa kwa taratibu zote za kisheria
Mkuu vipi kutoa mawe duarani unatumia diesel operated crane ama ndo zile za kunyonga kwa mkono?Kama ilivyo hapo juu, Mimi ninachimba Mwime ya Kahama Shinyanga.
Nimechimba shimo ambalo limefikia kwenye uzalishaji ila lina changamoto kwenye mtaji. At least mtaji wa nyongeza wa mil 5 and above. Ila kwa changamoto zilizopo mil 5 zinatoboa.
Mdau atakayekuwa interested nitampa hisa kwa taratibu zote za kisheria
Kaka uwe na tabia ya kuwekeza kwa mipangilio. Hasara haziepukiki kwenye biashara yeyote...Mwime eneo gan Zanzibar,dodoma area d au kule kwa mchungaji au kwa mama nakio by the way hiyo kazi ilinipotezea sana raman na imeniacha na makovu yasiyofutika familia ilivurugika na nikalazimka kuanza upya.all the best
Sina uhakika kama unao uzoefu wa kutosha kwenye hiyo sector ninachojua kama unachimba hilo duara bila kuwa na vipimo maana yake unabeti na kwa asilimia kubwa ya wachimbaji wadogo wadogo huwa tunabeti kwa sababu hakuna anatumia vipimo ikiwemo hiyo mwime so cha kufanya omba Mungu tuu duara lako lifike ila kusema unawekeza kwa malengo hapo haupo sahihi sababu hujui nini kipo huko chiniKaka uwe na tabia ya kuwekeza kwa mipangilio. Hasara haziepukiki kwenye biashara yeyote...
Labda utushirikishe, wewe uliwekeza wapi na kwa mipango ipi?
Hapana elezea hapa hapa! Kama ulivoleta hilo bandiko lako! Mambo ya inbox tena?Njoo inbobo tuongee boss
Duara alishafika ila ilianza na uzalishaji mdogo, nikapata changamoto kwenye mtaji ndio maana natafuta companySina uhakika kama unao uzoefu wa kutosha kwenye hiyo sector ninachojua kama unachimba hilo duara bila kuwa na vipimo maana yake unabeti na kwa asilimia kubwa ya wachimbaji wadogo wadogo huwa tunabeti kwa sababu hakuna anatumia vipimo ikiwemo hiyo mwime so cha kufanya omba Mungu tuu duara lako lifike ila kusema unawekeza kwa malengo hapo haupo sahihi sababu hujui nini kipo huko chini
Duara yenye uzalishaji haiwezi kosa wanunua hisa ni fasta tuu ila siyo mbaya komaa mwanangu unaweza kujikuta unatua penyeweDuara alishafika ila ilianza na uzalishaji mdogo, nikapata changamoto kwenye mtaji ndio maana natafuta company