Nakaribishwa sana Kilima Nyege. Sijui hata nianzie wapi

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Hapa ofisini kuna dada wa masijala kafika ana miezi miwili. Mzuri kweli...umbo lake matata hasa. Sema tu ni mswahili sana.

Ananiona mimi mpole so mara nyingi anakuja ofisini kwangu kunifanyia fujo. Kuna siku amejamba mbele yangu. Nlimshangaa sana. Akacheka na kusema ye haoni ajabu wala nanii yake hainuki.

Sometime anakuja anadondosha pen then anainama kuyachanua matako na mahips yake. Namtizama nasema tu moyoni Hiiiii!

Sasa ananambia "karibu kwangu naishi kilima nyege" mimi sipafahamu hapo naye ananambia we njoo kilima nyege ukifika hapo uliza supermarket usubiri nimtume boda boda aje kukuchukua . Anataka tu kwanza nifike kilima nyege ndo nianze mtafuta.

Mimi sifahamu hicho kilima ki wapi.
 
Ayaah!''wewe ni Mugalu unakosa wewe na kipa unakosa?,kugusa tu unatinga wavuni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…