Kwanza, hakikisha unapata michoro yoye kwa umoja wake, hapa namaanisha michoro ya msanifu majengo (Architectural drawings) hiyo ambayo tayari unayo, structural drawings na service drawings.
Pili, ipeleke michoro hiyo kwa mkadiriaji majengo (quantity surveyor) ili upate mahitaji ya jumla ya jengo lako. Na hapo ndio utajua unatakiwa kujiandaa kwa ukubwa gani.
Tatu na mwisho, weka mkakati wa kukusanya pesa kulingana na makadirio au zaidi ya makadirio yaliyo tolewa na quantity surveyor, kwasababu vitu hupanda bei.
Naamini maelezo haya yatasaidia kwa namna moja au nyingine.
0621003092
Ni namba kwaajili ya kupata ushauri wa bure kuhusu ujenzi.
Cheers 🥂