Nakataa goli la Mayele sio bora msimu huu, tusidanganyane

Weka video tulione....mkia..
😂😅
 
Asipoelewa hapa basi tena
 
Basi tufanye la ntibazonkiza ndio goli Bora unaonaje we kolo?
 
Kasage sumu unywe.
 
Kwani kulikuwa na tuzo ya goli baya? Bora hutokana na vizuri vingi unachagua zuri zaidi ,waingereza wanaita " the best one".
 
Akikuelewa,nibeep
 
Bao LA Kibu D dhidi ya utopoloo lilistahili, sio kwa mfataki ulee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kwenye bao boraa hapanaa, Mayele hastahili, ukweli usemwee.
Bao Bora ni lile lililotia mimba.Mimba yaweza kuwa medali au ubingwa ama kombe.Au lisababishe wapinzani kung'oa viti uwanjani
 
Mi mwenyewe nakataa goli bora ni la kwako ukiwa unachukua sheria mkononi
 
Huu Sasa si ushabiki Ila chuki. Huwezi kufananisha Solo goal na free kick goal. Kwa magoli yaliyowekwa pale ulitaka lipi liwe Bora kuliko mengine? Labda useme kuna goli lingine halikishindanishwa na haya lakini Kwa yaliyowekwa ile Solo inayafunika yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…