Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Wakija bara twaishi nao vizuri changamoto ukienda kule wanakutenga
Uliwahi kwenda huko na wakakutenga? Walikutenga kivipi?Wakija bara twaishi nao vizuri changamoto ukienda kule wanakutenga
Pitia njia ya Tanga ni jirani sana na PembaKila mtu ananikatisha tamaa kwenda kutembea Pemba kwamba pabaya, waislamu extremists sana, kufika huko ngumu sababu maboti makubwa kama ya Azam na mengine yanayokuja Unguja hayendi na pia upepo mkubwa sana na mawimbi kufika huko.
Aliyewahi kwenda au mwenyeji mnasemaje?
Kuna vitu Hujaspecify mkuu kwa sababu Usafiri wa Pemba unategemea vitu kadhaaKila mtu ananikatisha tamaa kwenda kutembea Pemba kwamba pabaya, waislamu extremists sana, kufika huko ngumu sababu maboti makubwa kama ya Azam na mengine yanayokuja Unguja hayendi na pia upepo mkubwa sana na mawimbi kufika huko.
Aliyewahi kwenda au mwenyeji mnasemaje?
Nilikuwa nataka kutokea Tanga ila naona muda umeniishia so itabidi nitokee from Unguja next time; hapo je? Nipe scenarios zote za from Tanga au from UngujaKuna vitu Hujaspecify mkuu kwa sababu Usafiri wa Pemba unategemea vitu kadhaa
Anyaei mkuu mimi ningekushauri chukua chopper tu ni nafuu na Inapunguza hofu yako
- Unaenda Pemba ukitokea wapi?
- Je,Unaenda kwa nia nzuri au unaenda kutembea? Ushauri usijefanye Rijali au kidume pemba kuchukua wake au watoto wa watu utakiona cha mtema kuni,
- Mkondo wa bahari au upepo inategmea pia unatokea wapi
From Tanga Mzee Unatumia njia ya Tanga Beach au kule sahare kuna Bandari za waswahili,Au unaenda kwa bandari ya kawaida..Nilikuwa nataka kutokea Tanga ila naona muda umeniishia so itabidi nitokee from Unguja next time; hapo je? Nipe scenarios zote za from Tanga au from Unguja
Pemba si sehemu ya maana kutembelea au kwenda kuanza maisha......unafiki mwingi mno na ubaguzi wa nje nje kwa watu wa bara. Sikushauri uende huko hakufai hata kidogo ila kama wewe una asili ya ugaidi na mnafiki basi kutakufaa,Kila mtu ananikatisha tamaa kwenda kutembea Pemba kwamba pabaya, waislamu extremists sana, kufika huko ngumu sababu maboti makubwa kama ya Azam na mengine yanayokuja Unguja hayendi na pia upepo mkubwa sana na mawimbi kufika huko.
Aliyewahi kwenda au mwenyeji mnasemaje?