mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Usimseme mchezaji wa makolo watakasirika.
Huyo ni mchezaji pendwa wa makolo.Huyu ni mchezaji wetu pendwa Yanga.alituumiza sana kwenda Azam nakumbuka zile siku
Fei wa kipindi kile siyo Fei wa sasa.Huyu ni mchezaji wetu pendwa Yanga.alituumiza sana kwenda Azam nakumbuka zile siku
Huyoo ni overrated mkuu , niamini Mimi , kuna short term wonder players, ndo kama huyo jamaa, ningumu kwa wachezaji wakitanzania kumaintain form kwa zaidi ya misimu 4, huyo dogoo kachoka..nambaya zaidi ubora wake kiuchezaji uko sehemu mbili tu mashuti na assist,vitu ambavyo hafanyi tena
Feisal ni yule yule tu.sema sasa anachezea AzamFei wa kipindi kile siyo Fei wa sasa.
Wa sasa ana tako.