mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Tangu nikiwa na miaka 19 nimekuwa nikipiga vita sana dada zetu kuruka ukuta.
Ila naona wazi ni kama wanatukatisha tamaa sisi wapinga hivyo vitu. Kuvuja kwa baadhi ya clips za wasanii wa kike wakiruka ukuta, tena kwa hiyari, kunarudisha mno juhudi nyuma.
Hasa hasa hawa dada zetu wenye 'mikia' mikubwa kwa kweli wanaturudisha mno juhudi nyuma. Najiuliza mno. Je, kufuga mikia ni kwamba wanachochea wao wenyewe? Kupiga picha wamebinua mikia ni kwamba wanachochea kurukwa ukuta?
Sasa naona fika ni kama wao wameridhia haya.
Niliwahi kukataa ofa ya kuruka ukuta way back.
Tuwalinde dada zetu, ile mikia si kishawishi cha hayo tunayofikiria. Ni kwa ajili ya kukalia tu.
NB:
Hata leo nikipewa naweza nikakataa kwa 100%.
Zingatia neno 'naweza'.
Ila...! Niishie hapo.