Lofawamali
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 304
- 146
Ukweli unaumaKwani wewe unakudhuru nini???
We hujui tu asa ndo wote??Kwani wewe unakudhuru nini???
Bora basi wangekua wanawake ndo wanalalamika...Ukweli unauma
Wa mkoa basi ndo wanazidisha kula mihogoWanaume wa Dar, kitu kidogo mnalalamika.
Cyo kuuma chief inatucost sanaukiomba unaulizwa unatokea Dar ??Ukweli unauma
Kama ipi??kwani wewe huna sifa za wanaume wa dar
Mamaya ndo unatia chumv kweny kidonda....Wanaume WA dar bana!
Kam hizi mkuuKama ipi??
Hakuna hata moja ila hilo la panya road mbona wote tulikimbia had wa mkoani??Au ulisikia Panyaroad waliuwawa na wa mkoa??Kam hizi mkuu
Yaani nyie basi tu
- Kuwakimbia PANYA ROAD.
- Kwenda saluni kutengeneza kucha.
- Kupenda kula chips kama dada zako.
- Kujipodoa kwa kuchangia vipodozi na demu wako na kushare nguo.
- Udaku na umbea Dar ndo kwao.
- Kutoboa pua na masikio.
- Kuvalia nguo makalioni.
- Kupenda kulelewa na majimama.
Ina mana mtu akiitwa bby ndo legelege ?? We unahisi Michelle Obama anamuitaje Obama?Wanaume wa Dar,legelege sana,Yani vichips ,kuitwa itwa baby,Mmh mara sjui nini?Wanaume wa Dar shida sana