Nakereka sana na huu msemo ''Wanaume wa Dar''

Wanaume wa Dar wanavaa shanga kiunoni,wengine wanasafisha kucha saluni,mie sipendi,Nabaki kwetu usheru shinyanga
Cyo kwel wasukuma ndo mnaongoza kwa ushamba mkija na hela zenu za mifugo mnaibiwa kuanzia ubungo
 
Wanaume wa Dar wakipata mda wa ziasa wanaenda window shopping,Kuangalia magari ya wanaume wa mikoani,Ma land cruiser,wao wanaishia bits na ist
 
Mimi kumbe sielewagi huo msemo,nilidhani unatambulishaga tabia za baadhi ya wanaume wa dar?
 
Kuna Uzi 1 iv nilileta kuhuthu wanaume wa Dar Bt Mod naona wameutoa

N:B
Ngoja nijaribu kuweka tena
 
Wanaume wa dar mambo yenu bhana! et kanomino tu kanamkera, kha!
 
Wanaume wa Dar na vibamia bhana!kha,alaf wanavyojidanganya ma konyagi na wine,Kumbe madem wanajua hawakojoleshwi na wanaume zao ,Madem wa Dar wakija huku mkoa lazma waachie "duka la mzungu"
 
ha haa......pole mkuu, naona wanawakomaliya sana watu wa dar, karibu moro au chalinze pwani uepukane na hayo maswahibu
 
Dah., usijali kuna wanaume kibao wa mkoa wamekuja kushangaa daraja la Nyerere na barabara za mwendo kasi hapa mjini na tunawatunza [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…