Nakereka sana na huu msemo ''Wanaume wa Dar''

Dah,asubui hii nimeona wanaume wa Dar tiyari wapo mliman city eti window shopping,kha,jumapili tena mapema hata staftahi hujapata usharnda kuuza sura mlimani?
 
Wanaume wa Dar kulelewa tu,Mara wolper saizi analea katoto ka kimakonde.

Mara Zari analea Mmnanyema wake.

Hii fasheni mmeitoa wapi alafu eri mnajiita "kioo cha jamii " badala ya kujiita "choo cha jamii@
 
Kiswahili kigumu aisee ni taftahe cyo shaftahe we ulienda kufanya nn??

Nilikwenda Tafuta funguo nlopoteza usiku nlipokwenda Nunua Luku.

Najia hata wewe ni mwanaume wa Dar ndo maana imekutach ila nashukuru umejirekebisha
 
Nilikwenda Tafuta funguo nlopoteza usiku nlipokwenda Nunua Luku.

Najia hata wewe ni mwanaume wa Dar ndo maana imekutach ila nashukuru umejirekebisha
Vituo vyote vya Luku hvi mpka uende Mlimani city duh...
 
Wanaume wa dar wanajisjaua sana!
Akifika tu mliman City anajifanya naye mzungu anaanza kuongea kimarekani,mwengine kingereza,mwengine ki ulaya basi tu!
Wengine wanashikana viuna na bebi zao ,Kuangalia muvi za 3D !

Maisha tusiige jamani!loh
 
Wanaume wa Dar bhana,asaiv wamekuja na fasheni ya kuvaa saa kubwa alafu kila akipiga picha anaweka saa ionekane!
 
Tatizo nyie machalii wa Dar mnazingua sana aisee inakuwaje mnajipodoa kama Dada zetu, mnapenda kubana sauti kama dada zetu,mnakula chips kama Dada zetu, mnauza t*go kama kawa nyie naje aisee??? Mnapenda kitonga kinyama ndo maana mkija USA yani United States of Arusha a.k.a chuga mnaoneka kama mabwabwa tu!
 
Wewe sio wa Dar,sisi wa Dar huwa hatuumizwi na huu msemo.Ukiona mtu anajisema yeye wa Dar,basi jua fika huyo amekuja au ameletwa ila sio born in Dar.So relax!
 
Wanaume wa Dar skuizi eti nao wanaoshwa kucha na wale 'waha' toka kigoma kama dada zao
 
Kulalamika kumeumbwa kwa kila binadamu mbna juz tu hapa mtu kapost kutoka kigoma kaibiwa au cyo kulalamika kule??
Umeshasema kaibiwa....sasa wewe unalalamika nini,kuitwa chips boy[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…