Nakerwa nikimwona taxi driver wa huyu dada...

Sasa ni kipi kinachokukera hapo wakati umesema ana uhusiano wa kudumu? Natarajia wa kudumu maana ana boyfriend wanaishi pamoja au anae mume.

Mi niko "single"

sijui ndiyo tatizo linapoanzia ama la!
 
Kweli kabisa. Lile jukwaa ukikaa nusu saa tu utafura kwa hasira na BP juu. Bora huku.

umeona eeh! Yaani kule mi huwa nasoma kabla sijasign in. Unaweza ukashikwa na mahasira umporomoshee mtu matusi ulambwe ban.
 
Sasa ni kipi kinachokukera hapo wakati umesema ana uhusiano wa kudumu? Natarajia wa kudumu maana ana boyfriend wanaishi pamoja au anae mume.

mi pia nimemshangaa. Mtu ambaye huna uhusiano nae unamuoneaje wivu! Ila tusimlaume, binadamu tunatofautiana.
 
umeona eeh! Yaani kule mi huwa nasoma kabla sijasign in. Unaweza ukashikwa na mahasira umporomoshee mtu matusi ulambwe ban.

Absolutely, kama mimi. Naogopa kuropoka then nikapigwa ban unnecessarily.
 
Karuka kimanga.....
Ana mahusiano parmenent.......

Acha ujinga katafute mtu ambaye hata kupotezea muda na utakuwa na mamlaka nae.

Kwa huyo hata akikubalia utakuwa mshika pembe tu na dogo inaonekana una wivu sana.

Asante ila mi si dogo..

Kama niliwahi kuoa mwaka 2005 bado mi dogo? Ama unarefer udogo wa aina ipi?!
 
wa jinsia gani wewe na umri wako vipi umemaliza seven kweli؛
 
Tafsiri yake ndogo tu. Wewe ni MSHIKA PEMBE
 
Wewe bwana mdogo unajifunza mapenzi nini!!!! Jambo unalouliza ni la kipuuzi tu. Ndiyo maana wengine wamekujibu kwamba wanapita tu.

Ahsante..ila hujanisaidia..

Na udogo unarefer vipi? Au namna gani? Kiumri au kimapenzi?
 
umeupenda ushauri wangu trach?

Ungenifafanulia kidogo...ila naamini maombi ni jibu la kila kitu...

Meanwhile nataka kujua where my problem is..

And as we speak,ametoka kunipigia simu muda si mrefu! Hata dakika 15 bado!
 
Nyie acheni kumzingu trach, kama hamna ushauri mpite. Udogo, kwani mapenzi yana udogo au ukubwa? Nyie wakubwa yamewafikisha wapi?
Trach usipanic mpendwa.
Kwaherini.
 
mi pia nimemshangaa. Mtu ambaye huna uhusiano nae unamuoneaje wivu! Ila tusimlaume, binadamu tunatofautiana.

Ila huyo bwana'ake kwanza ni Diabetic,na pili,amemzidi umri kwa karibu miaka 20!

Na mimi niko "single"..

Ila nilipenda kuwa naye close kabla sijamjua ni mtu aliye commited na mahusiano yake..ile feeling bado ninayo jamani..

Please nieleweni!
 
mi sijakuelewa sasa dereva tax unamchukia kwa nn?
 
umeona eeh! Yaani kule mi huwa nasoma kabla sijasign in. Unaweza ukashikwa na mahasira umporomoshee mtu matusi ulambwe ban.

Dah.. Husninyo kumbe temper yako ni ndogo kiasi hicho?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…