Wewe bwana mdogo unajifunza mapenzi nini!!!! Jambo unalouliza ni la kipuuzi tu. Ndiyo maana wengine wamekujibu kwamba wanapita tu.
hahahahaahaaaaaa,mbavu zangu mie.....huyu atakuwa kindagateni wa mapenzi
Ahsante...
Kiukweli kwa sasa sina haja ya mahusiano ya kimapenzi kabisa! Mi ni majeruhi wa mambo ya mahusiano,so sitaki... Ila kama nilivyojieleza,ni kitu kilichokuja from nowhere BPM!
hakuna kitu kinachokuja bila kutengenezea au kutengenezewa mazingira ya kuwepo. mmekijenga na kukiwekea mazingira ambayo yanakusumbua kwa sasa
Yaani BPM,huwezi amini..
Nilihisi kupenda kuwa na mazoea naye ya "just friends" siku ya kwanza nilipomwona..
Na baadaye sana nilikuja kufahamu ana commitment ya kudumu kwenye mahusiano aliyonayo..
So,sasa ndiyo imefikia hapo... Simu imekuwa on daily basis..kama si yeye,napiga mimi..
Jana nilipomaliza kuweka hii thread tu,nikapokea simu yake.. Ukipitia maandiko yangu niliyopost kuwajibu wakuu wengine,utanielewa,na kiukweli nahitaji ushauri wako..
sasa kuna haya mambo tuwekane sawa:
- mna muda gani katika mahusiano yenu?
- mna ahadi au mahitaji zaidi ya mwenzake??
- umesema ana mahusiano ya kudumu ina maaa ni mke wa mtu??
- mlishakuwa na malengo ya pamoja??
1. Kufahamiana ni kama mwaka,uhusiano ni kama miezi minne...
2. Hatujaahidiana lolote,sijui mahitaji yake,maana hajaniambia,mimi sitaki mahusiano ya bwana na bibi kwa sasa. Nilioa 2005,siko naye tena,kiufupi sikufurahia ndoa.
3. Hilo swali nimelikwepa tangu mwanzo wa thread..
4. Hakuna malengo yoyote..(ila kwa jinsi ninavyomwona,nikimuapproach hatokataa)
hapa inaonyesha kuna taarifa yingi haziko sawa... lakini naamini huyo mwenzako hauko nae huru , na kama hamko mapenzin kwa nini umuonee wivu
naona ume fall in love ila hutaki kukubali. most important ni karata zako utazicheza vipi. kua na mahusiano permanent sio kigezo cha wewe kutotupa ndoana yako. all the best mkaka...
Jitutumue babangu, hebu chukua hiyo sponsorship ya taxi. Mkionana mchukulie taxi umpeleke, afu jipange uvute kibaby walker uwe una-run ze show. Meanwhile jipange kujinasua manake YOU ARE IN LOVE
Napita tu!
Acha kutamani wanawake wa wenzako, Tafuta wako upange nae future yenu
Mtu ana uhusiano tena umsema wakudumu, halafu unajing'ang'aniza hapohapo