Nakinahi Mapema

ha ha ha... Musimo jr.... My man is nothing but a MAN - In fact an Alpha Male...
Halelujah! Sö you know there are MEN, BOYS & KIDS believe me these groups have got nothing to do with "AGE"
 
Halelujah! Sö you know there are MEN, BOYS & KIDS believe me these groups have got nothing to do with "AGE"


Kweli kabisa... Though an Alpha the more mature the better... (mo' experience..)
 
jamii ya akina Hemedi huyo, mimi huwa nawachukia sana
nahisi kama bado utoto haujaisha..............
 
nakosa hata cha kuchangia maana hiyo statement tuu "mi ni bonge la handsome" inachefua
 
Binafsi sioni kama ni sahihi kwa mwanaume kujinadi hivyo. Haya ndio nyie nyie baadaye unakuja kukanusha kuwa ww sio shoga!
 
Binafsi sioni kama ni sahihi kwa mwanaume kujinadi hivyo. Haya ndio nyie nyie baadaye unakuja kukanusha kuwa ww sio shoga!

kwanza guts za kujinadi yeye ni handsome kwenye mtandao sijui anazipata wapi
na humu tunajinadi kama wanaume kama ni handsome au ni mbaya akuambie mwanamke wako huko mtaani ukishakuja huku baki kuwa mwanaume
 
Kijana sikiliza...hamna ubaya wowote kusema kuwa wewe ni handsome...ni unasema ukweli tuu hapo!!!

sasa kuhusu wewe kukinaika.... hiyo mwana inatokea kwa sababu wewe huwapendi hao wanawake ....u just want them for sex like most men do. na wanaume wengi wakishapata walichokitaka wana cheat au kusepa so wewe nae unafanya hilo hilo tuu....so tho u-handsome wako unakuweza kuwavutia wanawake wengi, bado tabia yako ni ile ya wanaume wengi mtaani ambayo nikujaribu kulala na mwanamke na baada ya hapo kujisepea.

so advise yangu ni..wewe usione haya kusema kuwa wewe ni handsome..infact be thankful ila sio proud about it maana uzuri nao unaweza potea ghafla. pili kwa sababu unakinaika basi kuwa mkweli tuu na hawa wanadada...waambie jamani mie mambo ya kusettle down siwezi kwa sasa so date me at ur own risk....and bliv me becoz ur handsome hutakosa applicants!!!!! JUST BE HONEST.
 
Kweli kabisa... Though an Alpha the more mature the better... (mo' experience..)[/QUOTE/]
We binti we does ALPHA of yours here means VIBABU? Coz they have gone through alot and they are beyond exprerienced
 
mmmmmmmmmmmm handsome man..Umejipima kwa vigezo vipi kama wewe ni handsome man?Tupe vigezo vy handsome man na umejicompare na nani?
 
 
Huu si u gentleman, huwezi kukuta mwanaume anajisifia kwa aina hii, labda awe msanii ena dully sykes
 

Ni utoto tu ukikua utaacha
 
nunua mango picle!! APETIZER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…