Nakinahi Mapema

ukisikia watu wenye tabia chafu ndio kama wewe mfschsssuu
 
!!!!!!!!!!Bonge la handsome!!!!!!!
self evaluation mmh una matatizo mengi sana.
 
watu bwana,wameconcetrate hapo aliposema yeye handsome mnasahau kumpa ushauri...kwani kosa kuwa confident na looks zako????
mie nakushauri uwe unawaambia hao wadada mapema kuwa you are not ready to settle down,wajue terms and conditions za engagement na wewe! ili wasijiweke mazima...hata hivyo naamini una high standards ulizojiwekea ambazo ungependa mwanamke awe nazo....hao wote uliowapitia hajafikia hizo standards ukimpata aliyezifikia mwenyewe utasettle......au with time utaona kuwa labda hizo standards hazifikiki utaface reality na kuanza kucompromize na kuchukua standard za kawaida.
 
Attitude yko ni ndogo sana kiasi kirahisi rahisi tu unakubali kulinai,unamiaka mingapi ya kupenda?je huko utotoni ulipenda au kupendwa
 
kama vipi nenda mombasa tafuta wa kiume atakupa mambo tuone kaa utamuacha,
 
Tafuta demu utakaempenda na uache videmu vinavyojileta vyenyewe.
 
Ukiwa handsome ndo unakubalika kirahisi? Mmmh nimejua leo mimi binafsi nina aleji na wauza sura
 

Nini maana ya "bonge la handsome" kwa mtazamo wako? Sijauona uhusiano kati ya wewe kuwa 'bonge la handsome' na wewe kuachia mapema.
 

Hapo ndio hasa kwenye ufunguo wa ushauri utakaomsaidia huyu ndugu.
 
Pepo akutoke mara moja
 
if you only knew how it feels like kuachwa bila kosa lolote,usingekua unafanya hivyo.

ninachoweza kukwambia ni kwamba"try to appreciate what you have and grow up"
 
Mkuu hata Dully sykes naye anajiita Handsome. Mapenzi ni zaidi ya uzuri hivyo jisome mapungufu yako na hata hili lakujiona mzuri sana pia ni tatizo.
 
Mhh eti handsome......kama nakuona unavyolamba midomo na kunyonya ulimi hahahahahaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…