Nakodisha Ambulance kwa miradi mbali mbali au hospital binafsi

Nakodisha Ambulance kwa miradi mbali mbali au hospital binafsi

Joined
May 31, 2021
Posts
96
Reaction score
285
Habari ya muda huu,

Nakodisha ambulance kwa miradi mbali mbali au hospital binafsi, pia nafanya usafirishaji wa miili ya marehemu toka sehem moja kwenda nyingine.

Napatikana Dar es Salaam

Kwa maelezo zaidi piga 0623900700

IMG-20230728-WA0001.jpg
 
tafuta connection na makampuni ya ulinzi na na ya kukodi magari yenye contract kwenye kazi za EACOP hizo ambulance ni dili huko.
 
Wewe sema bange halafu baadae mje kuita watu Freemason.

Ambulance za kukodi ni biashara kama biashara nyingine na ukipata soko sahihi unatoboa maisha.
Biashara yoyote inayohusisha afya ya bibadamu Inataka vibali kutoka mamlaka tofauti-tofauti ikiwemo Wizara ya Afya. Na wateja huwatafuti humu JF kama vile unaendesha guta
 
Biashara yoyote inayohusisha afya ya bibadamu Inataka vibali kutoka mamlaka tofauti-tofauti ikiwemo Wizara ya Afya. Na wateja huwatafuti humu JF kama vile unaendesha guta
Kwa kupitia kipi hasa alichoandika umegundua kuwa hana vibali??

Umehukumu moja kwa moja kuwa ni bange kwa kupitia maelezo machache tu.

Anyways labda unamjua kiundani zaidi kupelekea comment yako.
 
Back
Top Bottom