Milles Montego
Member
- May 31, 2021
- 96
- 285
Hiyo ni Biashara kama biashara nyingine acha UFALA,watoto wa Mama kula kulala mna shida sanaBange mbaya
Wewe sema bange halafu baadae mje kuita watu Freemason.Bange mbaya
Biashara yoyote inayohusisha afya ya bibadamu Inataka vibali kutoka mamlaka tofauti-tofauti ikiwemo Wizara ya Afya. Na wateja huwatafuti humu JF kama vile unaendesha gutaWewe sema bange halafu baadae mje kuita watu Freemason.
Ambulance za kukodi ni biashara kama biashara nyingine na ukipata soko sahihi unatoboa maisha.
Kwa kupitia kipi hasa alichoandika umegundua kuwa hana vibali??Biashara yoyote inayohusisha afya ya bibadamu Inataka vibali kutoka mamlaka tofauti-tofauti ikiwemo Wizara ya Afya. Na wateja huwatafuti humu JF kama vile unaendesha guta
Kamkoko ka kutrombeaHabari ya muda huu,
Nakodisha ambulance kwa miradi mbali mbali au hospital binafsi, pia nafanya usafirishaji wa miili ya marehemu toka sehem moja kwenda nyingine.
Napatikana Dar es Salaam
Kwa maelezo zaidi piga 0623900700
View attachment 2701541
Vijana wa hovyooKamkoko ka kutrombea
SawaVijana wa hovyoo