Nakodisha Gari

Parachichi

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2008
Posts
510
Reaction score
102
Wakuu heshima mbele!nimeamua kujiingiza kwenye ujasiriamali,nimechukua ka mkopo na kununua gari aina ya Coaster,inakodishwa kwa tripu za hapa Dar na hata mikoani kwa shughuli za Harusi,mikutano na nyinginezo!ni mara ya kwanza kutumika hapa nchini,ni fully AC,bei ni makubaliano wakuu.

Kwa mawasiliano tuwasiliane number 0713 466 829 kwa wale wanaohitaji niwaagizie ilipo gari kwa ajili ya kuiona.

Nawasilisha
 
Hongera ndugu kwa juhudi zako za kujikomboa kiuchumi,nikipata deal nitakutafuta mkuu.
 

PARACHICHI,
Hongera sana.
Ila uwe makini na matapeli.
Kuna watu kazi yao ni kukodisha magari kwa nia ya wizi.
Weka Car track mkuu.
 
Ni kweli uwe makini na watu wasiowaaminifu ili wasikuingize mjini.
 
PARACHICHI,
Hongera sana.
Ila uwe makini na matapeli.
Kuna watu kazi yao ni kukodisha magari kwa nia ya wizi.
Weka Car track mkuu.

Asante mkuu kwa ushauri wako!mkuu hii industry ya ukodishaji wa magari nilikua sijaijua vizuri,imejaa usanii mbaya!ukiwa na tamaa unaingia mdomoni kwa matapeli!kuna mshkaj alikodisha gar yake ila ilikua ni self drive,jamaa wakaiuza hv hv!kesi ndio inaendelea!du soo!hivi hiyo car track inakuwaje?gharama zake ili nijistose manake insurance nimeshaweka Comprehensive.

Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…