Nakodisha mabasi kwa ajili ya safari/ shughuli

sirdelta

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
306
Reaction score
82
Wanajamvi karibuni mniungeee mkono nakodisha mabasi kwa safari/ shughuli ( harusi,misiba,picknic,familytour,) zozote ndani na nje ya Tanzania
Tuna Toyota coaster na Hino rainbow
Ya abiria 28 na 45 ...full a/c, TV, fridge, na madereva wazoefu tupigie kwa namba +255 656 432 342 tunapatikana Biafra kinondoni
 
Mie nikajua mtu anakupa chako alafu unamuachia gari kwa mwezi au kulingana na makubaluano yanayofanana nahayo naye akatafute riziki yake.

ingekuwa biashara yako inafanana na hii au Kama Kuna mtu yupo unamjua anafanya hii nipo interested
 
Nenda Tata Mkuu unalipa 30% wanakupa gari ukapambane na hali yako.
 
Asante kwa wazo vp wewe n mnufaika au kunamdau alinufaika nahilo nataka nijue viambatana ninavyotakiwa kuwanavyo
Benki statement ya miezi sita, Kitambulisho, Tin No. Ukiwa tayari nitakupa namba yao
 
K
Mkuu hao sitowaweza kiukweli mtaji bado mdogo sie tunatakiwa kukodi Kwanza iki baadae tuanze hzo za installment
Kweli aisee japo hizi usafiri kama unapambana ni good buzness
 
Al-Bashr embu eleza vizur hii imekaaje?
Wakuu tunamharibia Mwenye uzi.

Lakini atuwie radhi
,

Iko hivi unalipia 30% ya 105M ambayo ni 31.5M then wanakupa gari afu kila mwezi ndo unapeleka hiyo 3.8M kwa miezi 24
 
Wakuu tunamharibia Mwenye uzi.

Lakini atuwie radhi,

Iko hivi unalipia 30% ya 105M ambayo ni 31.5M then wanakupa gari afu kila mwezi ndo unapeleka hiyo 3.8M kwa miezi 24
Atuwie radhi japo nilisha kuelewa mkuu baada ya kusoma Mara nyingine Asante sana, sema Al-Bashr hii ni idea nzuri maana kazi za usafiri zipo sana au deals.
 
K

Kweli aisee japo hizi usafiri kama unapambana ni good buzness

Chombo n nzuri na advantage yake abiria wa coaster inachukua wa bus inachukua na ugumu na upambanaji inaweza huwa nazikilizia Sana kwenye milima ya kondoa babati huko
 
Chombo n nzuri na advantage yake abiria wa coaster inachukua wa bus inachukua na ugumu na upambanaji inaweza huwa nazikilizia Sana kwenye milima ya kondoa babati huko
Changamoto kama ni milima mingi, ubovu wa barabara solve hiyo issue kwa kubadili root mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…