Nakodisha mashine ya ujenzi (pedestrian roller, plate compactor, mixer, jumping hummer)

Nakodisha mashine ya ujenzi (pedestrian roller, plate compactor, mixer, jumping hummer)

JOH CARLOS

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2016
Posts
579
Reaction score
269
Mashine nzuri za ujenzi ,za compaction ,za kuvunja etc

Jumping hummer (mguu wa jini)

Hand roller

Plate compactor

Jerk hummer

Air compressor

Call. 0768048752

IMG_20191118_145041.jpg


IMG_20190529_101936.jpg
 
Niliipenda sana hii biz zamani, tatizo kulikuwa hakuna mwamko, ila sasa mbona poa, ukiona vipi, tafuta kabisa kausafiri fulani kaku deliver hizo mashine, na kama ikiwezekana bandika banners za kuonyesha wafanya biz gani, ila tangaza tangaza mkuu, utafanikiwa tu, usiache mali zinakaa zionekane, wewe fanya waone kwa lazima, wajuwe na watamani, na wasisahau unazo hizo mali..
 
mashine za ujenzi bado zipo tunakodisha bei poa
 
Back
Top Bottom