NMDA antagonist
Senior Member
- Mar 25, 2018
- 149
- 106
Ina probe ngapi...??? Brand gani??Habari ya humu Wana sogozi
Natafuta dispensary/health centre ambayo naweza kukodisha mashine ya ultrasound preferably ndani ya daresalaam. Machine ninya kisiasa with all accessories including printer.
Unafanya all examination including pelvic, abdominal and obstetrics ultrasound.
Inbox for inquiry
Ni sonoscape ina probe mbili curved na linear probeIna probe ngapi...??? Brand gani??
180k kwa mwezi mashine ni Sono "S itatumia probe mbili pamoja na printer yake.Kiasi gani mkuu
Kiasi gani
Kuuza?180k kwa mwezi mashine ni Sono "S itatumia probe mbili pamoja na printer yake.