mchakarikaji2016
Member
- Dec 6, 2016
- 12
- 10
Kitu chochote chenye kuuzikaehe dhamana ni kituu gani au ?
Sasa wewe contact zako ziko wapiHabari zenu..
Nakopesha pesa kwa riba.
Riba ni asilimia 10 kwa mwezi.
Mkopo ni wa muda mfupi ambao hautozid mwezi mmoja kulingana na kiasi cha pesa.
Wafanyabiashara wadogo na wafanyakazi walioajiriwa ndo wanaoweza kukopesheka.
Dhamana ni lazima.
Haha anakusanya nguvuDuh jamaa kapotea pm hajibu