Kwanini mkuu waku xi jinpingMnawapiga sana watu nyie jamaa wa simu za mkopo kmmmk
Unakuta simu ya 250k mnaiuza hadi 500kKwanini mkuu waku xi jinping
Kweli kabisaUnakuta simu ya 250k mnaiuza hadi 500k
Samahani mkuu kama inakukwaza lakini cash Haiwezi kufanana na mkopo.Unakuta simu ya 250k mnaiuza hadi 500k
Wabongo ni shida sana, sasa mtu kama unaona unapigwa si unaenda kununua simu kwa cash tu kwani umeshikiwa bunduki kwamba lazima ukope. Ukitaka mserereko lazima ikugharimu tu, maamuzi ni yako!Unakuta simu ya 250k mnaiuza hadi 500k
Kuna Father amekuja na A05 anasema aliuziwa na kijana mtaani kwake , complain yake anasema simu imemuandikia locked baada ya kurestore nikamwambia hiyo ilikuwa na mkopo wakatoa mkopo kwahyo ulivyo restore ndoumeharibu akasema naomba unielekeze wanapapotikana hao watu credit ambao wameifunga hii simu yangu nikamwambia hiyo ni case kubwa inabidi ujiandae akasema wew nielekeze tu ofis hayo mengine niachie mim nikamuelekeza kuna branch wanakopesha simu sijui ni nn kilitokea huko ila mzee ni taita kinoma🙌Habari JF
Kama kichwa kinavyojieleza ninakopesha simu za mkopo aina ya Samsung.
Modeli no A06, A07,A16 na A17.
Njoo na kianzio Cha shillingi elfu50 kwa Samsung A06 na A07 Ili uanze kumiliki simu Yako.
Viambatanisho ni namba ya NIDA, leseni ya UDEREVA au kitambulisho cha mpiga kura.
Dar kokote ulipo ninafika. Kwa mawasiliano DM karibuni.