myao wa tunduru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2010
- 614
- 235
Dah! hili zoezi akifanya mbele za watu lazima atakimbiziwa mirembe tu. Halaf watu wanaweza wakahisi evolution inaendelea na jama anataka kugeuka nyoka.Au tumia Dawa hii itakusaidia Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma
na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea mtu hadi mtu.
hahahahah!!!!nafanyia faragha hili zoezi!Dah! hili zoezi akifanya mbele za watu lazima atakimbiziwa mirembe tu. Halaf watu wanaweza wakahisi evolution inaendelea na jama anataka kugeuka nyoka.
Mimi naongeza ushauri jamaa asubiri tanesco wamezima umeme au awe faragha wakati wa kufanya hili zoezi.
Pamoja sana kamanda lolhahahahah!!!!nafanyia faragha hili zoezi!
klorokwini Bado hujakuwa wewe tu? Acha mambo ya uhuni huo unaosema.Dah! hili zoezi akifanya mbele za watu lazima atakimbiziwa mirembe tu. Halaf watu wanaweza wakahisi evolution inaendelea na jama anataka kugeuka nyoka.
Mimi naongeza ushauri jamaa asubiri tanesco wamezima umeme au awe faragha wakati wa kufanya hili zoezi.
klorokwini Bado hujakuwa wewe tu? Acha mambo ya uhuni huo unaosema.
Fanya hiyo Dawa niliyokuambia kwa muda wa siku 10 au 20 utapata majibu yake mazuri tu kama una mpenzi au una ndugu yako yoyote aliye karibu na wewe atajuwa kuwa umesha acha baada ya siku hizo kufika inshallah. Nenda kwenye Duka la Pharmacy kuna dawa inaitwa kwa jina ( Anti-snore) wanaweza kukupatia huenda ikakusaidia inshallah.Zoezi nimelianza jana!sasa ntajuaje kama hii hali imeisha au kupungua?na nikienda pharmacy kuulizia nasal decongestants tu watanielewa?