thanx but am not doing the things to impress somebody lakini unanyofanya the best for somebody and somebody anafanya the worse lazima uvunjwe mtima bwana wherever can beWell, by normal I meant natural. Kama wewe unaona ndio kawaida yako hivo basi fanya hivo tu. Atakae vutiwa na hivyo vitu atavutiwa huku akijua that's just the way you are. Kuna watu wanalazimisha kufanya vitu sababu wanadhani it will impress their lovers kumbe ndio wanaharibu. Just be yourself.
Pole sn,but unapoona mambo hayaendi vizuri haina haja ya kulazimisha na kujikuta huenjoy hayo mapnz yenyewe,u ni uamuzi mzuri jipe mda kujipanga upya na kutafakari mapungufu yako na kuwa na tageti ya aina ya mtu unaehitaji na kuanza upya!
as i show to them i need them 2show me 2 mapenzi ya kinafiki sitaki Mkono mmoja. kama maandiko yanavyosema usichotaka kutendewa nawi pia msimtendee mwenziopole sana, lakini labda niulize wewe ulitaka akupende vp? au akupendeje ili uhisi kua anakupenda kweli?
Basi chose carefully before you engage deeply.thanx but am not doing the things to impress somebody lakini unanyofanya the best for somebody and somebody anafanya the worse lazima uvunjwe mtima bwana wherever can be