Nakosa mood na ari ya kuendelea na masomo, naombeni msaada wa kimawazo

Nakosa mood na ari ya kuendelea na masomo, naombeni msaada wa kimawazo

Mdau tu

Member
Joined
Jun 8, 2024
Posts
22
Reaction score
22
Hello guys wa jf tumekua tukishauriana vingi na nilitamani tena mnipe mawazo.

Nipo chuo diploma ya kwanza IT chuo Fulani Nina umri wa miaka 20 ila kadri siku zinavozidi kwenda sio siri napoteza muamko na kusoma na Kuna changamoto ambazo ninazo binafsi za kiafya ambazo ni ngumu kuajiriwa au ninaweza kupoteza kazi kupitia hali niliyonayo kwani nishasema nina tatizo la bipolar asa nafikiria ndio inaeza ikawa ni mawazo ya mhemko?

Ila mara Kwa mara nimekuwa nikilifikiria ilo kwani nazidi kulipa ada ambayo mbeleni haitokuja kunisaidia
Hali niliyonayo nayo ni ngumu kukaa serious kuconcetrate na ki2 kimoja mfano graphics au coding inakua ngumu kwahiyo mi nasoma tu ilimradi kujaza mtihani. Sielewi niamuaje hili jambo na selewi nifanye nini nmejaribu kuongea na mzazi ila anaona ni bora nivae joho tu ata nisipoajiriwa fresh.

Nshafanya biashara nikiwa na miaka 17 mpaka 19 ila nilisimama ili kwenda chuo kutokana na msukumo wa nyumbani ila ni kitu ambacho naona Kwa hali niliyonayo nayo ni kitu ambacho naeza kukifanya tu japokua nacho kina changamoto na miba mingi.

Kinachoniwazisha pia nna tatizo la kupoteza interest na vitu naeza nkaanzisha kitu ila kadri siku zinavozidi kwenda nafanya kitu katika juhudi isiyotakiwa Ani nafikiria aisee.

Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu.
 
Hello guys wa jf tumekua tukishauriana vingi na nilitamani tena mnipe mawazo

Nipo chuo diploma ya kwanza IT chuo Fulani Nina umri wa miaka 20 ila kadri siku zinavozidi kwenda sio siri napoteza muamko na kusoma na Kuna changamoto ambazo ninazo binafsi za kiafya ambazo ni ngumu kuajiriwa au ninaweza kupoteza kazi kupitia hali niliyonayo kwani nishasema nina tatizo la bipolar asa nafikiria ndio inaeza ikawa ni mawazo ya mhemko???

Ila mara Kwa mara nimekuwa nikilifikiria ilo kwani nazidi kulipa ada ambayo mbeleni haitokuja kunisaidia
Hali niliyonayo nayo ni ngumu kukaa serious kuconcetrate na ki2 kimoja mfano graphics au coding inakua ngumu kwahiyo mi nasoma tu ilimradi kujaza mtihani. Sielewi niamuaje hili jambo na selewi nifanye nini nmejaribu kuongea na mzazi ila anaona ni bora nivae joho tu ata nisipoajiriwa fresh.

Nshafanya biashara nikiwa na miaka 17 mpaka 19 ila nilisimama ili kwenda chuo kutokana na msukumo wa nyumbani ila ni kitu ambacho naona Kwa hali niliyonayo nayo ni kitu ambacho naeza kukifanya tu japokua nacho kina changamoto na miba mingi.

Kinachoniwazisha pia nna tatizo la kupoteza interest na vitu naeza nkaanzisha kitu ila kadri siku zinavozidi kwenda nafanya kitu katika juhudi isiyotakiwa Ani nafikiria aisee
naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu
Hamia mlima Meru huko kuna fursa nyingi ambazo hazijavurugwa.
 
Back
Top Bottom