Nakosa mpaka hela ya guest

Sasa ww Chakubanga Vp hujapewa buku Saba zako au walikurusha
Tulia LB buku Saba FC
Mh kaza Kwel Kwel maana Haya matahira hayajielewi
Yalizoea dili wizi sasa yanajitetea Ooh mimi tegemezi Kwan ww Kilema
Mpaka mnyooke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nakutana na koment zinanipa burudani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tahira huyo hajitambui Achana nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...siku nilipoacha kuchagua kazi na kuhusudu level yangu ya elimu niliofikia ndio siku life langu lilivyoanza kubadilika
 
We jmaa upon kwenu unatafura nn, hapa hapo kwenu tafuta chumba cha elfu kumi kwa mwezi ujitegemee, hyo ya kulipia guest so bora ulipie chumba cha kupanga!! AF jifunze kufanya kazi zingine hats kma ni out of your professional ili uongeze kipato chako!! Kabebe hats zege per day unachukua kuanzia elfu 20 na kuendelea acha utozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubarikiwe mkuu.ningekuwa na hela ungekunywa soda
 
Hyo akili ya kuwaza mademu watatu tuliza akili ufikirie cha kufanya kuliko kuwaza huko chini ulikotokea na ugumu huu wa life.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku sinza kuna machangu wa buku Tatu vichochoroni huku. Atunze hyo buku saba
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…