Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

wewe ni simba mkuu,
ila hapo umekutana na chatu.

Siwezi kuwa refa kwenye huo mtifuano
"""Inashangaza kijana hana kazi, hana pesa lakini ana hamu ya ngono
Upuuzi mtupu,,😁😁😁😁😁
 
😁😁😁😁 Mkuu show kali aiseee huu mtihani hata ww usingeweza an
Mkuu mimi nina uzoefu na hao the so called 'mishangazi'

Niliwahi ishi Dar es salaam kitambo kabla hujaijua JF.. nimekutana nao, wanajua kuhonga na kujali.

The issue is, You are not alone..
 
Mkuu mimi nina uzoefu na hao the so called 'mishangazi'

Niliwahi ishi Dar es salaam kitambo kabla hujaijua JF.. nimekutana nao, wanajua kuhonga na kujali.

The issue is, You are not alone..
Ahahahaha kumbe ni familia bana.
🤛🤛🤛🤛🤛🤛🤛
 
Ahahahaha kumbe ni familia bana.
🤛🤛🤛🤛🤛🤛🤛
Nilikua naishi Tabata Shule,
Huo mshangazi ulikuwa Tabata Kinyerezi.

Alikua anafanya kazi T.R.A sijui ilitokea changamoto gani akaacha kazi..

Siku moja akaniambia anipe milioni 1 nifanye biashara flani nijiandae na mambo ya familia😅😅

mimi nikiwa 28yrs yeye ako na 40 yrs nkaona hapa napotea kijana wa watu😂😂😂
 
Mkuu mkuu acha sana kwanini tabata na Buguruni wanatoa mashangazi....
Sasa huyu wa me kiukweli sina haja ya kukuficha najua uwezi kumju...

Yeye anafanya kazi hapo tazara TCC
 
Mkuu mkuu acha sana kwanini tabata na Buguruni wanatoa mashangazi....
Sasa huyu wa me kiukweli sina haja ya kukuficha najua uwezi kumju...

Yeye anafanya kazi hapo tazara TCC
Nikushauri Mdogo wangu,
You are not alone.
Chuma Mali haraka ukimbie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…