Nilihudhuria hiki kikao kilichotoka na hii ajenda. Kwa kuheshimu usiri na mengineyo niseme tu Lissu ndo alikuja na hii ajenda na mkutano ukaikubali na Mbowe kuwajibika nayo in a collective responsibility manner.Baada ya kuangalia kinachoendelea kuhusu joto la siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu October 2025, nimebaini kwa namna moja hama nyingine Lissu na CHADEMA wamebeba nia njema kuhusu no reforms no election, ila aliyewaletea hilo wazo alijua kabisa sisi watanzania ni waoga munoo, hivyo tusingeweza kutekeleza kimapambano hii no reforms no election.
Mbowe alileta hili wazo kwa nia njema ila alijua sisi watanzania hatuwezi kwa asilimia mia kupigania haya mabadiliko, inawezekana kabisa alitaka kuitikisa serikali ili warudi mezani na kufika dau au bei alafu kuelekea uchaguzi kama angeshinda uenyekiti wa chama taifa, abadili gia angani na kutwist kidogo huu msimamo wa chama.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Suala la G55 kuibuka na kusema Mbowe akusema tuzuie uchaguzi siyo la bahati mbaya, mpango wao ulikuwa huo wa kuitikisa serikali ya ccm alafu wafike bei.
Bahati mbaya ,Lissu ambaye alikuwa ajui nia madhubuti ya mkakati akawa amemshinda mbowe na kuwa Mwenyekiti wa chama, hivyo kwa kuwa ni mpenda mageuzi ya kweli, akahamua kulivaa asilimia 100 zote tofauti kabisa na zilizokuwa plans za mtangulizi wake.
Ni kweli kabisa Lissu yuko sahihi kupigania mabadiliko ila sisi watanzania bado ni wajinga munoo kwenda na nia yake thabiti, hali hii itampa wakati mgumu sana kulifanikisha hili.
Tumuombee ashinde kesi yake na kurudi kupigania mabadiliko.
Hapa chini nimeambatanisha, mjadala uliofanywa leo na BBC swahili ukiangazia joto la siasa Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu, katika mjadala huu ,naibu katibu mkuu wa chadema bara Bw. Golugwa alishiriki. Naomba msikilize kwa makini alafu muone ni jinsi gani sisi watanzania bado tuna safari ndefu kuelekea mabadiliko ya kweli.
Lissu amabeba dhamira nzuri, ila sisi watanzania ni wagumu munoo wa hizi siasa za antagonism politics.Kwa kisukuma Mayala ni njaaa!
John Pombe Magufuli ikulu magogoni mwaka 2019.
Kitu gani kimewasukuma G55 kutoka hadharani na kusema Mbowe akusema CHADEMA wazuie uchaguzi?Nilihudhuria hiki kikao kilichotoka na hii ajenda. Kwa kuheshimu usiri na mengineyo niseme tu Lissu ndo alikuja na hii ajenda na mkutano ukaikubali na Mbowe kuwajibika nayo in a collective responsibility manner.
Huu ujinga wa kuwasema watz ,sijui bado wajinga ,mara bado waoga ukome kama sio kufa, unataka waingie msituni? ndo ujue kwamba sio waoga.Baada ya kuangalia kinachoendelea kuhusu joto la siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu October 2025, nimebaini kwa namna moja hama nyingine Lissu na CHADEMA wamebeba nia njema kuhusu no reforms no election, ila aliyewaletea hilo wazo alijua kabisa sisi watanzania ni waoga munoo, hivyo tusingeweza kutekeleza kimapambano hii no reforms no election.
Mbowe alileta hili wazo kwa nia njema ila alijua sisi watanzania hatuwezi kwa asilimia mia kupigania haya mabadiliko, inawezekana kabisa alitaka kuitikisa serikali ili warudi mezani na kufika dau au bei alafu kuelekea uchaguzi kama angeshinda uenyekiti wa chama taifa, abadili gia angani na kutwist kidogo huu msimamo wa chama.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Suala la G55 kuibuka na kusema Mbowe akusema tuzuie uchaguzi siyo la bahati mbaya, mpango wao ulikuwa huo wa kuitikisa serikali ya ccm alafu wafike bei.
Bahati mbaya ,Lissu ambaye alikuwa ajui nia madhubuti ya mkakati akawa amemshinda mbowe na kuwa Mwenyekiti wa chama, hivyo kwa kuwa ni mpenda mageuzi ya kweli, akahamua kulivaa asilimia 100 zote tofauti kabisa na zilizokuwa plans za mtangulizi wake.
Ni kweli kabisa Lissu yuko sahihi kupigania mabadiliko ila sisi watanzania bado ni wajinga munoo kwenda na nia yake thabiti, hali hii itampa wakati mgumu sana kulifanikisha hili.
Tumuombee ashinde kesi yake na kurudi kupigania mabadiliko.
Hapa chini nimeambatanisha, mjadala uliofanywa leo na BBC swahili ukiangazia joto la siasa Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu, katika mjadala huu ,naibu katibu mkuu wa chadema bara Bw. Golugwa alishiriki. Naomba msikilize kwa makini alafu muone ni jinsi gani sisi watanzania bado tuna safari ndefu kuelekea mabadiliko ya kweli.
Waulize G-55Kitu gani kimewasukuma G55 kutoka hadharani na kusema Mbowe akusema CHADEMA wazuie uchaguzi?
Umeona Lissu amekamatwa bila kanuni na taratibu kufuatwa, ila mpaka sasa hamna mtanzania hata mmoja aliyejitokeza hata barabarani kuhandamana kwa njia ya amani kutetea haki yake.Huu ujinga wa kuwasema watz ,sijui bado wajinga ,mara bado waoga ukome kama sio kufa, unataka waingie msituni? ndo ujue kwamba sio waoga.
ni watz hawahawa wamepigana kufa na kupona mpaka nchi ikawa huru mpaka leo unatembea tumbo nje.
Hakuna mtanzania Muoga bali Mtanzania amejaliwa upendo ,na uvumilivu ,so mtu mvulivu ni mbaya kuliko unavyofikiri ,sio mjinga
Uhuru mazafanta. Unajua kupigania uhuru wewe. Hiv kati ya Uingereza na ujeruman ninan alitutawala, kama kuna mtz hajui Uingereza ailikuwa mdhamini wetu UN mpaka tuweze kujitawala basi huyo mtz ni kilaza pure.Huu ujinga wa kuwasema watz ,sijui bado wajinga ,mara bado waoga ukome kama sio kufa, unataka waingie msituni? ndo ujue kwamba sio waoga.
ni watz hawahawa wamepigana kufa na kupona mpaka nchi ikawa huru mpaka leo unatembea tumbo nje.
Hakuna mtanzania Muoga bali Mtanzania amejaliwa upendo ,na uvumilivu ,so mtu mvulivu ni mbaya kuliko unavyofikiri ,sio mjinga wala haogopi
So udhamini ulikuja tu kwa akili yako fupi kama piritonUhuru mazafanta. Unajua kupigania uhuru wewe. Hiv kati ya Uingereza na ujeruman ninan alitutawala, kama kuna mtz hajui Uingereza ailikuwa mdhamini wetu UN mpaka tuweze kujitawala basi huyo mtz ni kilaza pure.
Udhamin ulikuja baada ya ujeruman kupigwa.makolon yake yakagawiwa wakolon wenzie. Una lingine. Hiv hujajiuliza kwanini muingereza aliwekeza kenya zaid kuliko hapa japo kote alikuwa anatawalaSo udhamini ulikuja tu kwa akili yako fupi kama piriton